National Institute of Transport - NIT

LATEST NEWS

Thu, 24 Apr 2025 | 04:20 PM

NIT YAKABIDHIWA NDEGE YA MAFUNZO NA NCCA

National Institute of Transport - NIT

MAMLAKA ya Uhifadhi Ngorongoro (NCAA) imekabidhi ndege ya mafunzo kwa Chuo Cha Taifa Cha Usafirishaji (NIT) ili kuunga mkono jitihada za Serikali kuongeza wataalamu wa urushaji wa ndege. Makabidhiano hayo yamefanyika jijini Dodoma tarehe 24.4.2025.

Akizungumza baada ya kukabidhi ndege hiyo Kamishna Msaidizi mwandamizi wa Ngorongoro Salma Chisonga alisema ndege hiyo itasaidia kuongeza wataalamu wa kurusha ndege ambao watalisaidia Taifa.

Latest News

National Institute of Transport - NIT

ZIARA YA NAIBU KATIBU MKUU - UCHUKUZI

May 13, 2025, 11:44 a.m.

Naibu katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi Ludovick Nduhiye  ameutaka uongozi wa chuo cha Taifa cha Usafiraji (NIT) kuhakikisha wanatunza na  kuendeleza vifaa kwa ajili ya mafunzo ya Urubani, Wahudumu wa ndani ya Ndege na Wahandisi Matengenezo ya ndege.

Nduhiye amesema  hayo tarehe 9.5.2025 baada ya kutembelea na kukagua vifaa mbalimbali vilivyonunuliwa na Serikali katika kufundishia mafunzo ya Marubani na Wahudumu wa ndani ya Ndege.

“Serikali imewekeza fedha nyingi katika kununua vifaa hivyo vya kufundishia marubani hivyo uongozi wa Chuo unatakiwa kuhakikisha vifaa hivi vinatunzwa ili vidumu kwa muda mrefu” Alisema Nduhiye.

Pamoja na kukagua  na kutembelea vifaa hivyo pia alikagua ujenzi wa hosteli za wanafunzi wa kike na wakiume  majengo ya utawala ambayo ujenzi wake umefikia asilimia 98 na unatarajiwa kukamilika katika mwaka huu.

Kwa upande wake Mkuu wa Chuo Dkt. Prosper Mgaya amesema kuwa vifaa vyote vya  kufundisha urubani katika chuo  vimekamilika na mafunzo hayo yanatarajia kuanza Mwezi sita  mwaka huu. Aidha ameushukuru Uongozi wa Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan na Serikali yote kwakuwa wamewezesha ununuzi wa vifaa hivyo.

“ Vifaa vya kufundishia Urubani vimekamilika na tumeshapata idhini kutoka mamlaka ya Usimamizi wa Anga (TCAA) kuanza kufundisha hivyo tunatarajia kuanza kutoa mafunzo haya mwezi wa sita na tuanza na wanafunzi kumi na mbili” Alisema Mgaya

 Mwenyekiti wa Baraza la Uongozi wa Chuo hicho Prof. Ulingeta Mbamba amesema Baraza la chuo litaendelea kusimamia  Ubora  wa Elimu unaotolewa na chuo hicho kwa masomo yaote ili chuo hicho kiendelee kutoa wataalam wanaoweza kushindana katika soko la ajira za ndani na nje ya nchi.

Mkufunzi wa Mafunzo ya wahudumu wa ndani ya Ndege amesema kuwa vifaa vyote vya wahudumu wa ndege vipo tayari kwa ajili ya kufundishia hivyo anawakaribisha  vijana   kwenda katika chuo hicho kupata mafunzo hayo katika Sekta ya Anga.

National Institute of Transport - NIT

NIT GRADUATE EXIT PROGRAMME

May 13, 2025, 11:41 a.m.

National Institute of Transport (NIT) conducted a graduate exit programme at the NIT Mabibo Campus. This programme, among other things, is designed to better prepare graduates for the employment market.
Speaking at the inauguration of the programme, the Acting Deputy Rector for Academic Research and Consultancy, Dr. Eva Luhwavi, stated that today is indeed another significant occasion in your academic careers, during which the Institute is equipping you to more effectively navigate the job market. This event elicits a range of emotions in graduating students: delight in expectation of embarking upon a new chapter in their lives and, for others, pleasure and satisfaction with their accomplishments.
"And we, as the Institute, also take pride in your achievements. Concurrently, we bear the responsibility of working tirelessly and continuing to enhance the quality of our training and to develop contemporary teaching and research methods," Dr. Luhwavi added. "I would like to take this opportunity to congratulate all the students who will graduate in this academic year of 2024/2025. You have undertaken a considerable journey here at the NIT, with some of you having spent four years and others three. I sincerely request that the time you have invested at the Institute has not been in vain, so that you may proceed to contribute effectively wherever you may go.
"We are all aware that human resources constitute one of the most crucial foundations in establishing a modern and efficient society. Therefore, I would advise all of you who are graduating to utilise the knowledge you have acquired, each within your respective discipline, to foster the development of our nation."
Dr. Luhwavi Concluded, I would implore employers and parents to give these graduates opportunities so that they may demonstrate their proficiency. There is a tendency to favour the recruitment of young individuals with prior experience. I assure you that our young people have undergone practical training, and thus, despite their potential lack of experience in a professional environment, they possess the skills necessary to apply in the roles they will secure. Indeed, I believe in their capabilities"

National Institute of Transport - NIT

NIT MANAGEMENT VISITS THE PROSPECTIVE NIT LINDI CAMPUS.

Feb. 11, 2025, 9:31 a.m.

The National Institute of Transport (NIT) management on February 8th, 2025, visited the Prospective NIT Lindi Campus to assess the progress of the campus designated for the development of a skilled workforce and technological innovation in the Maritime, Oil, and Gas sectors. This strategic visit marks an essential step in the development of the campus toward the realization of a world-class training facility aimed at equipping professionals with the expertise needed to meet the growing demands of the maritime professionals.The campus will play a pivotal role in strengthening Tanzania's human resource capacity in this field, ensuring the workforce is equipped with cutting-edge skills to meet global standards.

The NIT delegaation included the NIT Rector, Dr. Prosper L. Mgaya, Deputy Rector for Planning, Finance and Administration Dr. Zainabu Mshana, NIT maritime experts, and NIT Estate personnel. The delegation examined the proposed Land Use Plan of the designated land for the Campus at Kikwetu, where the project is expected to take shape in the coming months.

Accompanying the NIT delegation were representatives from the consulting firm M/s Edge Engineering and Consulting Limited, who will undertake the task of designing the Phase I campus infrastructures. During the visit, the consultants were shown the proposed land where the construction of Phase I buildings and training facilities will take place, including classrooms, workshops, staff offices, and a canteen.

During the visit, NIT Rector Dr. Mgaya expressed enthusiasm about the project, emphasizing that the campus would be a game-changer for Tanzania's economy by producing highly skilled technicians and experts who can contribute to the sustainable development of the maritime industry, with emphasis on Engineering and Technology Maritime training programmes. The Campus is also expected to provide professional and short-term training programmes aimed at boosting local economies (small-scale fishing) and fostering innovation in maritime technology and resource extraction.

Furthermore, Dr. Mgaya acknowledged the profound support NIT is receiving from the Government in advancing the institution's infrastructure development agenda. He emphasized that the government's commitment to establishing the Maritime Campus in Lindi demonstrated its vision for developing local expertise in the maritime, oil, and gas sectors.

The visit concluded with a briefing from the consulting company representative on the next steps in the design phase, with a timeline set for the completion of the campus facilities.

 

50 YEARS NIT ANNIVERSARY 1975-2025

Excellence in Transport for a Sustainable Economy.